Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Juventus wanajiandaa kupambana na Chelsea katika harakati za kumsajili kiuongo kinda Sandro Tonali,18. Kiungo huyo ananga'ara katika ligi ya Serie B na klabu ya Brescia. ( Talksport)
 
Klabu za Wolves, Leicester City, Southampton na Fulham zinahusishwa na harakati za kumsajili kiungo wa Ureno Joao Mario. Mario,25, hajacheza hata mechi moja katika klabu ya Inter Milan msimu huu. (Calciomercato)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…