Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,462
- 2,940
Funga kazi...atakua na ngoma za chuma huyu
Funga kazi...atakua na ngoma za chuma huyu
Huku pia mvua ipo sana,,neema hyo mkuuSafi mkuu...mvua tu mitaa yetu
Civil[emoji123][emoji123][emoji123]Thisi is FlyoversView attachment 910699
Hata sasa yapo ila ni yakutafuta sana uhangaike hata.
Mambo vp mkuu,,,habari za majukumuHabari za jioni ndugu zangu mliopo ukanda wa maziwa makuu
Mdada kapendeza. Sasa hapo siku ya siku uombwe kumfumua halafu ujifanye mjanja utumie mkasi huko nchani ujichanganye ukate nywele zake. Moto utakaokuwakia mpaka utakwenda kutafuta ushauri nasaha aisee...[emoji16][emoji16][emoji16]