Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1540409671611.jpg
 
Nyingi mno nimeangalia karibia 100.

Nadownload naangalia nikamaliza nafuta natafuta nyingine

Baadhi
The heirs,100 days my prince,devilish joy,descendants of the sun,healer,my love from another star,innocent defendant,shine or go crazy,Jewel in the palace, sister is alive,my golden life,twoweeks,emergency couple,young pal,life,marry me now,hotel king,bride of the century,highschool love,city hunter,you are beautiful,heartstrings,iiljimae,gu family book,blood,faith,k2,innocent man,who are you,am not a robot,are you a robot,coffee prince,slave hunter, etcccccccc zote hizo tamu sana
Umetisha Num
 
Fyekero = ID mpya hapa JF (mara nyingi ni kwa ajili ya kufanyia mambo ambayo huwezi kuyafanya kwa kutumia ID yako ya kawaida mf. Kukiri kuwa we ni memba wa CHAWAMITA, CHAPUTA; kutongoza mtu ambaye alishakukataa huko nyuma, kuporomosha povu, kujiwekea likes mwenyewe, kuanzisha thread za kifala fala n.k)

Duuuu, mkuu binafsi sikulijua hilo, kumbe wajanja hujigeuza mafala ili kujipatia kiki za kiboya boya[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] SALUTE
FB_IMG_1540107074952.jpg
 
Duuuu, mkuu binafsi sikulijua hilo, kumbe wajanja hujigeuza mafala ili kujipatia kiki za kiboya boya[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] SALUTEView attachment 910800
Unaniangusha mkuu. Unajua kila kitu kuhusu utalii halafu hujui dhana ya fyekero? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
JOHN CENA AFUNGUKA KUWA ANAHITAJI MTOTO, KWANI ANAPATA FEDHEHA | Licha ya kupitia kwenye mahusiano na wanawake lukuki, Mwanamieleka maarufu duniani, John Cena ameonekana nafsi yake kufedheheka kwa kukosa mtoto. John Cena (41) ambaye ameshapitia kwenye maisha ya ndoa kwa miaka minne na aliyekuwa mke wake wa ndoa Elizabeth Huberdeau, hajabahatika kupata mtoto jambo ambalo amekiri linamnyima raha. “nimepitia kwenye mahusiano tofauti tofauti, lakini sijabahatika kupata mtoto. mwanzoni nilikuwa naangalia mwanamke nitakaye jenga naye familia lakini kwa sasa natamani zaidi kupata mtoto hata kwa njia ya upasuaji ikiwezekana,“ameeleza John Cena kwenye mahojiano yake na kipindi cha Today cha NBC. Mwanzoni mwa mwaka huu John Cena alimvisha pete ya uchumba mcheza mieleka mwenzie Nikki Bella lakini miezi miwili baadae wakamwagana. Katika maisha yake yote, John Cena hajawahi kupata mtoto na alishawahi kutamka wazi miaka ya nyuma kwamba hapendi watoto.
Asee, kumbe hajapata mtoto, usikute walishajifia kwa vipigo tangu wakiwa tumboni mwake.[emoji16] [emoji16] [emoji16] MWENYEZI MUNGU amjaalie apate mtoto
 
Asee, kumbe hajapata mtoto, usikute walishajifia kwa vipigo tangu wakiwa tumboni mwake.[emoji16] [emoji16] [emoji16] MWENYEZI MUNGU amjaalie apate mtoto
Ma steroids wanayokula ili kutunisha miili yao pia siyo rafiki sana kwa uzalishaji wa manii zenye afya. Athari mojawapo mbaya sana ni kusinyaa kwa makende pamoja na mjurubeng, kukua kwa kichwa na upungufu mkali wa libido. Apambane na hali yake tu kwa sababu hakuna namna...
 
KILIO ni kile kile kwa kocha wa Manchester United, Jose Mourinho. baada ya kuchapwa bao 1-0 nyumbani na Juventus huku timu yake ikitawaliwa kwa kiasi kikubwa, Mourinho amerudia kilio chake kile kile cha kutaka apewe pesa ili apambane.

Licha ya kutumia kiasi cha pauni 367.5 milioni kwa kipindi cha miaka miwili ya ukocha, Old Trafford, Mourinho amekiri kwamba timu yake ina safari ndefu kupambana na timu kama Juventus, Barcelona, Real Madrid, Man City na wakubwa wengineo.

Matumizi mabaya ya pesa
 
Mara nyingi watu hudhani kuwa mali za wote zinastahili hujuma.
Hawaamini kama ni mali zao
Dhana ya mali ya umma ni ngumu sana kueleweka. Yaangalie tu mafisadi yanavyojichoteaga ndiyo utaelewa...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Nimeona kwenye group moja huko watu wanatoa povu kuwa yawezekana ikawa ni hujuma za kisiasa. Wanaondoa nati ili ajali zitokee ionekane kuwa daraja limejengwa chini ya viwango na lawama zielekezwe kule kunakostahili...Nchi ya wagagagigikoko [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom