Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ulikuwa mbali na mtandao labda. Dogo keshavuta karibu anamaliza mwezi sasa. Ariana Grande alisikitika sana hasa alipoanza kuandamwa kuwa yeye alikuwa ndiyo sababu ya jamaa kuanza kufakamia ungaNdio nmesikia jana bro,,,kumbe jamaa alijioverdose,,,so sad
Nlikuwa mbali sana na mitandao ,,,na hii niliipata baada ya kuona kuwa ariana grande amebreak up na jamaa yake na mm siku zote kabla sijazama chimbo najua ariana anadate na miller,,,kumbe walishapigana chini hadi mshikaji kajioverdose ....Ulikuwa mbali na mtandao labda. Dogo keshavuta karibu anamaliza mwezi sasa. Ariana Grande alisikitika sana hasa alipoanza kuandamwa kuwa yeye alikuwa ndiyo sababu ya jamaa kuanza kufakamia unga
Kwa mastaa hawa mapenzi ni kama mchezo tu. Inasemekana kuachana na Grande kulimwathiri sana dogo mpaka akakosa mwelekeo. Grande alikuwa ni mmoja kati ya watu wachache aliokuwa anawasikiliza. Kijana mdogo jiniazi wa muziki kafa hivi hivi yaani. SadNlikuwa mbali sana na mitandao ,,,na hii niliipata baada ya kuona kuwa ariana grande amebreak up na jamaa yake na mm siku zote kabla sijazama chimbo najua ariana anadate na miller,,,kumbe walishapigana chini hadi mshikaji kajioverdose ....
Dhana ya mali ya umma ni ngumu sana kueleweka. Yaangalie tu mafisadi yanavyojichoteaga ndiyo utaelewa...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Nimeona kwenye group moja huko watu wanatoa povu kuwa yawezekana ikawa ni hujuma za kisiasa. Wanaondoa nati ili ajali zitokee ionekane kuwa daraja limejengwa chini ya viwango na lawama zielekezwe kule kunakostahili...Nchi ya wagagagigikoko [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu habariHali hii, inatokana na nini?.View attachment 910816
Hali gani mkuu?Hali hii, inatokana na nini?.View attachment 910816
SafiiKinachoendelea huko bunju kwa Simba Sc View attachment 910703
Mi siamini kama kuna siasa za aina hiyo Tanzania bara, labda zianze sasa
Lakini Zanzibar waliweza kufanya jambo la nanma hiyo wakimpigania mtu wao ambaye mpaka sasa hapata anachotaka.
Kwa huko Kilombero nadhani ni ujinga na njaa za baadhi ya watu. Maana eneo hilo watu wake ni wakulima stadi na hawana njaa za hovyo ingawa wavivu pia wapo
Msukuma hapa ni yupi au wote ni Wasukuma isipokuwa huyu komando?
Kwakweli hakuna nmna, maana wanavyotembezeana vichapo bila huruma huwa nawashangaa sana.Ma steroids wanayokula ili kutunisha miili yao pia siyo rafiki sana kwa uzalishaji wa manii zenye afya. Athari mojawapo mbaya sana ni kusinyaa kwa makende pamoja na mjurubeng, kukua kwa kichwa na upungufu mkali wa libido. Apambane na hali yake tu kwa sababu hakuna namna...
unaitakaShing ngapi?
Unaniangusha mkuu. Unajua kila kitu kuhusu utalii halafu hujui dhana ya fyekero? [emoji16][emoji16][emoji16]