Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu

1. Ardhi

2. Siasa safi

3. Uongozi bora

4. Mwalimu Nyerere alishatudadavulia...
Hili tuendelee tunahitaji vitu vinne
1.Watu
2.Ardhi
3.Siasa safi
4.Viongozi bora
Nadhani kuna sehemu tumeteleza lazima tukubali ukweli
Watu tunao wa kutosha ,Ardhi ndio usipime ,lakini kwenye 3 na 4 naona kuna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…