capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hahaahahah!! Sawa.Chaguo bora...ila na mume usimsahau. Vya Mungu mpe Mungu na vya Kaisari mpe Kaisari [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Siku yangu yaenda vyema kabisa. Kilicho bora zaidi ni uhai, hayo mengine ni ziada tu.Ndiyo asili yetu hiyo...hata tujifanye watakatifu vipi na kuvaa majoho na makofia marefu yanayotuzidi kimo.
Ndiyo maana matendo mema pekee hayatoshi; na bila rehema ya Mungu ni kazi bure. Siku yako inaendeleaje prof?
Ooh! Nimekuelewa mkuu.Wapenda vinywaji vyeusi hata ukiwaambia vina shida kubwa hawawezi kukuelewa so alivyojibu kwamba hawezi kunywa sumu Ndio nikamjibu hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ulinganifu wa odds usikuchanganye, angalia timu unayoiamini.
.Jumla ya vijana 12 ambao waliokolewa pangoni nchini Thailand mwaka huu watakuwepo katika uwanja wa Old Trafford hii leo kuishuhudia Manchester United ikicheza na Everton. Vijana hao ambao ni wa kutoka timu moja ya vijana nchini humo, waliokolewa kwa pamoja mwezi Julai baada ya kukwama kwa takribani wiki mbili katika pango lililojaa maji. Tukio hilo liliteka hisia za watu wengi sehemu mbalimbali duniani na kupelekea hadi Makamu Mwenyekiti mtendaji wa klabu ya Manchester United, Ed Woodward kuwaalika kuhudhuria katika moja ya mchezo. Taarifa zinaeleza kuwa vijana hao walikutana na kocha Jose Mourinho jana Jumamosi.