Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Love
IMG-20141109-WA0001.jpg
 
Asante!! Labda mabinti wengine, nilikuwa makini sana kuwanyonyesha watoto wangu wote wanne (4) + huwa nikiingia mazingira ya home najiachia mwili wote upumue.

Prof. Watoto wanne? Umejitahidi sana [emoji122][emoji122][emoji122]

"....huwa nikiingia mazingira ya home najiachia mwili wote upumue..."...mpaka nimefikiria eti siku moja nije ili miili yetu ipate kupumua pamoja. Ai niidi preyazi [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom