Haya..
Asante!! Labda mabinti wengine, nilikuwa makini sana kuwanyonyesha watoto wangu wote wanne (4) + huwa nikiingia mazingira ya home najiachia mwili wote upumue.Mabinti wote mliomo katika uzi huu (Numbisa, Pyaar, Carbamazepine, Sweetlee, Kim Chiu, Tumosa, Ledada, Jakitoo, Farkhina, Beef Lasagna, Consuela, Bbade...); mkipata watoto Nyonyesheni. Na mkilala usiku msilale na bra. Acheni hiyo mirija katika matiti yenu iwe huru. Kinga muhimu dhidi ya kansa ya matiti [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 913472
Mie nachagua kushughulika na Bwana.
Tulio wengi hii inatuhusu.Oooh God helpazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 913460