myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
10:35
Salama Moud, hofu kwako.Habari za asubuhi ndugu zangu
Asante, Mimi hata bra sivaiMabinti wote mliomo katika uzi huu (Numbisa, Pyaar, Carbamazepine, Sweetlee, Kim Chiu, Tumosa, Ledada, Jakitoo, Farkhina, Beef Lasagna, Consuela, Bbade...); mkipata watoto Nyonyesheni. Na mkilala usiku msilale na bra. Acheni hiyo mirija katika matiti yenu iwe huru. Kinga muhimu dhidi ya kansa ya matiti [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 913472