Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
jana nlikua na kausingizi hakuna wa kunipoteza kula like kwanzaAaa wapi! Kachokoza moto hapa kapigwa sikumsikia tena! Kuna watu wako ngangari hapa wewe ukileta za kuleta unapewa makavu live...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jenga heshima
Nilikuacha late night Sorry... Dear
Kwema bagheshiNiko poa. Kwema huko?