Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Sasa hv inamuonekana mpya,,,hatari tupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikwa kwenye uwanja wa k vant sitaki simu naweza andika mambo ya ajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sema jamaa alikuwa mwalimu mzuri sana,najivunia kufundishwa naye na ndo alinifanya nizidi kupenda somo lake hadi leo napenda kufanyia kazi alichonifundisha.
Awe na maisha marefu popote alipo km yungali hai,,leo tumepata nondo hapa,,inabd ajisifie katoa mwanafunz kichwa japo bado anaishi kwa msaada wa mwongozo wa bunge,desa [emoji23][emoji23]