Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mf. Placebo EffectKuna usemi wanasema imani huponya
Mf. Placebo EffectKuna usemi wanasema imani huponya
Prof vipi? Lekcha ya leo ilikuwa ngumu mpaka kichwa kinawaka moto au imekuwaje?
Hata sijui kwakweli,nilisikia ni kimtu kifupi sana[emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣 kibwengo si ndio mwenye tochi kwenye komo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]? Utafkir nimewahi kumuona vile[emoji849]
Ualimu - kazi mama. Sijutii kuwa mwalimu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sasa hv inamuonekana mpya,,,hatari tupo
Awe na maisha marefu popote alipo km yungali hai,,leo tumepata nondo hapa,,inabd ajisifie katoa mwanafunz kichwa japo bado anaishi kwa msaada wa mwongozo wa bunge,desa [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ninge bhana.Sasa hv inamuonekana mpya,,,hatari tupo
Awe na maisha marefu popote alipo km yungali hai,,leo tumepata nondo hapa,,inabd ajisifie katoa mwanafunz kichwa japo bado anaishi kwa msaada wa mwongozo wa bunge,desa [emoji23][emoji23]
Si lazima kusubiri uvuke 40,kuna vijana siku hizi wako kwenye 30's hapo wako na na presha,sijui kisukari na magonjwa wengine kibao yasiyoambukiza.Ukivuka 40 ile comprehensive check up ya kila mwaka ni muhimu sana hata kama uko fit au uko kimbaumbau (Kuwa kimbaumbau haimaanishi kuwa una afya bora...LOL[emoji16][emoji16][emoji16]). Sasa sisi (hasa wanaume) tunasubiri mpaka mtu uumwe ndo uende hospitali. BP, Kisukari, lehemu (cholesterol) na magonjwa mengine mengi zikiwemo kansa za kila aina huwa hazina dalili za wazi. Kumbe ungeenda na kufanya vipimo kadhaa vya damu ungeweza kugundua mapema ikasaidia...
Ni sawa kabisa Dr. Kuanguka vyooni na huko mabafuni mara nyingi inawakumba wahenga na kwa kawaida kuna sababu ya msingi lakini number one suspect kama ulivyosema ni BP ya muda mrefu, mrundikano wa cholesterol umeziba mishipa ya damu na hata kisukari cha kimya kimya.
Usiku wa viazi[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Usiku wa pipii
Mara nyingi sana.Na wewe huwa inatokea? Anyway nitaondokana na hili tatizo soon. Bwana mdogo capitalpool ameniahidi kuniletea iPhone 6. Tuwe na subira [emoji16][emoji16][emoji16]
AiseeUsiku wa viazi[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 915564
Vizuri carba..Mwenye ez Mungu akutangulie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ninge bhana.
Mimi ni kilaza ninayejitambua.
Kitu sijui nauliza,sielewi nasoma.
Maisha niliyochagua kuishi ni ya kusoma kusikoisha.