Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa hv inamuonekana mpya,,,hatari tupo

Awe na maisha marefu popote alipo km yungali hai,,leo tumepata nondo hapa,,inabd ajisifie katoa mwanafunz kichwa japo bado anaishi kwa msaada wa mwongozo wa bunge,desa [emoji23][emoji23]
 
Ukivuka 40 ile comprehensive check up ya kila mwaka ni muhimu sana hata kama uko fit au uko kimbaumbau (Kuwa kimbaumbau haimaanishi kuwa una afya bora...LOL[emoji16][emoji16][emoji16]). Sasa sisi (hasa wanaume) tunasubiri mpaka mtu uumwe ndo uende hospitali. BP, Kisukari, lehemu (cholesterol) na magonjwa mengine mengi zikiwemo kansa za kila aina huwa hazina dalili za wazi. Kumbe ungeenda na kufanya vipimo kadhaa vya damu ungeweza kugundua mapema ikasaidia...

Ni sawa kabisa Dr. Kuanguka vyooni na huko mabafuni mara nyingi inawakumba wahenga na kwa kawaida kuna sababu ya msingi lakini number one suspect kama ulivyosema ni BP ya muda mrefu, mrundikano wa cholesterol umeziba mishipa ya damu na hata kisukari cha kimya kimya.
 
Huyo pressure yake iko over the roof. Likely na cholesterol pia. Hapo ana bahati sana hajajibamiza kichwa. Na vipimo vya presha, cholesterol na kisukari vilivyo rahisi masikini...
 
[emoji818][emoji818][emoji818]
 
Kwa vile tunaishi katika jamii inayoamini uchawi sana (Bongo tuko wa kwanza duniani kwa utafiti wa mwaka jana) inawezekana na mambo ya kutupiana majini pengine yapo. Ila mimi naamini mara nyingi ni hao jamaa watatu: BP, Cholesterol na Kisukari. Ndiyo maana waathirika wengi wa hii ishu ni watu wazima (55+)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…