Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Rushwa iwe marufukuuuuuuuuuu
YupTomorrow morning... Ndo kesho?
Nashukuru kukuona tena hapaTuko wazima kwa kweli ndugu yangu
kula like kwanza halafu nenda ukajifunze uandishi na kupangilia maudhui coz hueleweki unaongelea mada ganibuzitata na Aleyn
Acheni kusambaza roho mbaya zenu za kunguni humu
Lengo la huu uzi kama hamuufahamu ni mpite hukooooo au muulize
Roho za kukosa na uroho mbays msiueneze humu
Uzi huu ni team no stress
Na ni team kusambaza upendo kwa like
Mjisikitikie ma kuondoa upupwu
Hakuna anayekula ban humu kabisaaaaa
Msituchafulie uzi wetu
Muache uvivu maisha yenu mmejitakia
Wivu.com wakubwa