M.A.PPancho La Tino Mafia
Asante kwa taarifa
Nilijua tyl shem ameanza kubagua baadh ya vyakula[emoji16][emoji16] Sio ya kweli bro hiyo emoj huwa inanifurahisha Sana.....
Huyo Numby wewe muache tu najua nini cha kumfanya aniadd kwenye group la wahenga
Nakubali hiyo
[emoji106] [emoji106] [emoji109] [emoji109]Nimeona si vibaya nikipita na huku kidogo kuwasabahi wana jukwaa, amani iwe nanyi na busara itawale..
Umetisha sana mkuu.