Bro ya kweli haya???hongera bhana
Numbisa ataacha kukuita dogo
Nilijua tyl shem ameanza kubagua baadh ya vyakula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Numbisa hata asikuumize kichwa,mtt wa jana huyo
[emoji16][emoji16] Sio ya kweli bro hiyo emoj huwa inanifurahisha Sana.....
Huyo Numby wewe muache tu najua nini cha kumfanya aniadd kwenye group la wahenga
Hapo sasa halafu anajidai ana uchugu sana na timuNahisi mwenyewe game ya juzi alikua anashabikia Barca
Sanaaa huyu jkt huyu registration mpo vizuriii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman Ester,,kwahyo unatuchek tu
[emoji16][emoji16] Pee
Sijaiona si wajua tena mtu ukiwa hauna genye hivyo vitu unaona vya kawaida kuvitafuta subiri mzuka upande utavitafuta tu na kuangalia fresh[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani wewe umeiona video ya Amber? [emoji16]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] umeuaSijaiona si wajua tena mtu ukiwa hauna genye hivyo vitu unaona vya kawaida kuvitafuta subiri mzuka upande utavitafuta tu na kuangalia fresh[emoji23][emji23][emoji23]