myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hahah! NdioIli muiangalie kwa kushirikiana?!
Panafaa sana kupumzika wakati miguu umeiweka humo bwawani
Makoroboi ndio jina la mtaa wake?Anapatikana makoroboi,,,kajaa tele
Insha Allah amin[emoji120][emoji120][emoji120]Vizuri carba..Mwenye ez Mungu akutangulie
Insha Allah
Msalimie shemeji yetu mkuuHuwa napishanaga nae, akiingia natoka na sirudi mpaka nipate uthibitisho wa kifo chake.
Nakumbuka mke wangu alitumia mafuta ya taa na kukanda kwa kutumia majani ya mnyonyo.
Najitahidi kuwadhibiti kwa kutumia oil chafu, naimwaga mara kwa mara kuzunguka nyumba.
Siyo shemeji sema mamaMsalimie shemeji yetu mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah.... Kwanini mama na sio shemeji?Siyo shemeji sema mama
Siyo shemeji sema mama
Sababu wewe ni mtoto wetu wa mwisho[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah.... Kwanini mama na sio shemeji?
Beat ya hii ngoma ni kweleMusk Off - Future
Sababu wewe ni mtoto wetu wa mwisho[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahah aisee daah!!Sababu wewe ni mtoto wetu wa mwisho[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
ThibitishaSababu wewe ni mtoto wetu wa mwisho[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]