Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hata mm ni ndugu zangu wa karbu sana,,,[emoji23][emoji23][emoji23]Wasuqu ni wanangu sana mquu..
Hata mm ni ndugu zangu wa karbu sana,,,[emoji23][emoji23][emoji23]Wasuqu ni wanangu sana mquu..
Mimi sijacheqi halafu naitafuta bro ..utanisaidiaje??
Nafurahi kusikia hivo ndugu yanguNamshukuru Mungu tupo vizuri kabisa
Niqo chuga bro wee uqo wap qwani?Dah sijui tunafanyaje bro,,,Uko pande gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shwaini zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WAVES.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto wa kizazi cha iokote mnashida sana
Nipo chato mkuu,,sema unaweza ipata kupitia terrarium tv app au fmovies.com unashusha mzgo woteNiqo chuga bro wee uqo wap qwani?
Dah mquu em andiqa tena..Kat.rip Ingia hapo
Kwel aisee,,sema imepewa rate nyingi sana,,hlf yule gaid kafa kizembe sanaYule daktari 24 ndiyo kila kitu
Ni qweewiseeeee...Hia wi goo... View attachment 916410
Zamani ya ujana wetu kuna vitabia tulivibeba kwake. Ashukuriwe Mungu barabara kipindi hicho hazikuwa busySi jamaa mmoja hivi amewai act movie na jet lee
Hahahahaha Chato..Nipo chato mkuu,,sema unaweza ipata kupitia terrarium tv app au fmovies.com unashusha mzgo wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha Chato..
Hivi tyrant si walii cancel ama imeanza tena?Mtu yupi huyo bro??sema ni nzuri kiasi chake ila haijafika kwa Homeland,Tyrant
Hivi hii series inahusu nini mquu?Bila akili nyingi kuangalia hii MR robot ni kasheshe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamani ya ujana wetu kuna vitabia tulivibeba kwake. Ashukuriwe Mungu barabara kipindi hicho hazikuwa busy
Ngoja nikatafute rangi ya thao made from china nipewe mang'ombe na msukuma wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro hawez nweka kwa iginolist,,ila ww iginolist ipo njiani
Binti mwenye rangi ya thao wanamtolea ng'ombe za kutosha hatar
Aiseeeh![emoji134][emoji134]Sisi wengine tuna misimamo ya kijahidina na ni wagumu zaidi ya rapper kalapina