Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Yap,,,nmeichek hata ile 24 legancy pia nimeichekHahaha Ila si umecheki 24hrs
Ila 24 ni funga kazi aisee
Yap,,,nmeichek hata ile 24 legancy pia nimeichekHahaha Ila si umecheki 24hrs
Ya ushoga ama??
Sema empire ilivyoanza niliioenda ila ghafla nikakosa mvuto nayo
[emoji16][emoji16][emoji16]Yap,,ushoga shoga aaah,,
Homeland ipo vzr sana,,,mm naipenda sana aiseeSijawahi iangalia hiyo
[emoji16][emoji16][emoji16]
UshogaBro vp mbona umecheka tena
Huyu jamaa ana stori flan hv,,,ya kumchukua wife wa mshikaj wake then akamfanya wife wake tena akawa manager wake kabsa,,,Mauro ICard
Eeh bhana,,hapo ndipo nilipoona inazngua tena inazngua sana tuUshoga
😂😂Muhenga mwenzangu hajambo[emoji16]
Kweli bro huo upuuzi jauEeh bhana,,hapo ndipo nilipoona inazngua tena inazngua sana tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wangu na ww unalikuwa unanyanyua nondo zile za uswahili zenye kilo tofaut,,
Mwsho wa siku unavimba upande mmoja
Siku hz kuna gym aisee,,
Dk ya ngapi mkuu?Yanga 1 wenzao 0
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zege linajazwa kwenye makopo bila kipimo