Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Huyu jamaa ana stori flan hv,,,ya kumchukua wife wa mshikaj wake then akamfanya wife wake tena akawa manager wake kabsa,,,
Yupo vzr sana,,,
Analijua goli sana. Wanawake wapo flexible sana wanapenda kuwepo pale wanapopata fur aha Naipata story yake