Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Huyu jamaa ana stori flan hv,,,ya kumchukua wife wa mshikaj wake then akamfanya wife wake tena akawa manager wake kabsa,,,
Yupo vzr sana,,,
Goli la Yanga nani kafunga?Yanga 1 wenzao 0
Huyu ni nani!?juninho pernambucano
Kweli aisee,,Icard now anaibeba sana InterAnalijua goli sana. Wanawake wapo flexible sana wanapenda kuwepo pale wanapopata fur aha Naipata story yake
Kama ni Ajibu basi litakua ni goli makini sanaGoli la Yanga nani kafunga?
Huyu mtu sifa zitamjaa mpaka ataanza haribuKama ni Ajibu basi litakua ni goli makini sana
aigooo huyo jamaa alikuwa hatari Sana kwa mipira ya adhabu(free kick) wakati huo anacheza Lyon ya franceHuyu ni nani!?
Duh!Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo, 33, amesema aliihama Real Madrid na kujiunga na Juventus kwa sababu rais wa klabu hiyo ya Uhispania Florentino Perez hakumfanya ajihisi kama mchezaji anayethaminiwa na kudhaminiwa sana. (L'Equipe, kupitia Express)