[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah jamaa anayo talent ila kujituma haweziHuyu mtu sifa zitamjaa mpaka ataanza haribu
Sawa nashukuru sana ngoja nimcheck YouTubeaigooo huyo jamaa alikuwa hatari Sana kwa mipira ya adhabu(free kick) wakati huo anacheza Lyon ya france
Naomba isitokee hiiMshambuliaji wa Barcelona anayechezea Ufaransa Ousmane Dembele huenda akaruhusiwa kuondoka klabu hiyo mwezi Januari. Chelsea, Liverpool na Arsenal ni miongoni mwa klabu ambazo zimehusishwa na kutaka kumchukua mchezaji huyo mwenye miaka 21. (Sun)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah na wewe umewasahau wale wadada wanaosuka pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo umenikaushia pale kwa wale jamaa wanaopaka rangi kucha,,sio vzr hata kdogo
Unaliona la kawaida kwakua umelilinganisha na magoli ya kina Rakitik ila kibongo lile goli ni hatariGoli la kawaida sana lile daah wabongo sie
Nimeona uzi eti aliomba ruhusa kwa kocha kabla ya mechi asicheze ati anaumwaHahah jamaa anayo talent ila kujituma hawezi
Real Madrid wanamtaka meneja wa sasa wa Tottenham Mauricio Pochettino awe meneja wao mpya wa kudumu kufikia mwisho wa mwezi huu. Miamba hao wa Uhispania walimfuta kazi Julen Lopetegui baada yake kuhudumu kwa miezi minne na nusu Jumatatu. Alifutwa baada ya Madrid kuchapwa 5-1 na Barcelona Jumapili. (Sun)
kule kwetu Korea ya kusadikika kipindi hiki Kuna drama moja inaitwa ROOM NO 9,basi kuna tukio moja la ajabu linawakuta wanawake wawili na hatimaye nafsi zao zinabadilika,Mazungumzo ya Real na kocha wa zamani wa Chelsea Antonio Conte ya kumtaka achukue mikoba ya ukufunzi Madrid yamekwama. Hii ndiyo sababu iliyochangia Santiago Solari ambaye ni mkufunzi wa timu ya akiba kuwekwa kwenye usukani. Kocha wa timu ya taifa ya Ubelgiji Roberto Martinez ni miongoni mwa wanaopigiwa upatu pia kumrithi Lopetegui. (Marca)
Eeh hatari sana lileKama lile gori alofunga zidi ya mbao
Bahati mbaya sifagilii soka la bongo ,jamaa wababaishaji tuUnaliona la kawaida kwakua umelilinganisha na magoli ya kina Rakitik ila kibongo lile goli ni hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]damushin bana. Umesahau pia ni utajiri nje nje kwa vijana wenye vipaji vyaokule kwetu Korea ya kusadikika kipindi hiki Kuna drama moja inaitwa ROOM NO 9,basi kuna tukio moja la ajabu linawakuta wanawake wawili na hatimaye nafsi zao zinabadilika,
nyakati hizi za njaa na umasikini nchini kwetu kila ninapoziona taarifa Kama hizi hutamani na mimi nitokezewe na mysterious events na hatimaye nijikute nipo ulaya kimiujiza.
sijasomea mpira wala kucheza professional football timu yoyote ile ila naamiini Nina uelewa mkubwa wa soka ukilinganisha na makocha wengi duniani.
mpira umekuwa utajiri wa bure kwa makocha.
Ndio alivyo yule ata mazoezi huwa anatega sana yaani mvivu sema kipaji tu kinamleaNimeona uzi eti aliomba ruhusa kwa kocha kabla ya mechi asicheze ati anaumwa
Hujakosea kabisa ata usipofatilia ni sawa maana sikufichi bongo hakuna soccer wala nini, watu wanaruka ruka tu. Sisi zetu ngoma mengine tunaigaBahati mbaya sifagilii soka la bongo ,jamaa wababaishaji tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carba bana. Bana hawajaonana siku wakionana atajua jinsi ya kumuita.Siyo shemeji sema mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sababu wewe ni mtoto wetu wa mwisho[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
angalau wachezaji wanatumia nguvu kubwa sana kila wiki lakini hawa makocha hmmmmmm.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]damushin bana. Umesahau pia ni utajiri nje nje kwa vijana wenye vipaji vyao
Mbao anapiga na nani?Matokeo ya mbao yametuhuzunisha sana