D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
unataka apunguze manjonjo ili akose mkate.umesahau jamaa ameshakuwa harabuji(babu)Hahah! Anaelekea kuanza kufanya comedy katika soccer ila zamani alikua vizuri naona watu wamemfatilia sana nae anazidisha maujanja adi anaharibu