Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Uzi umeshachangamka sio?Bro nimeingia humu nimecheka sana JF bhana kuna vituko sana
Uzi umeshachangamka sio?Bro nimeingia humu nimecheka sana JF bhana kuna vituko sana
ili goli lifungwe lazima patokezee Chemical reactionSasa jamani mkate ndio makeke yazidi vile mixer kanuni za Chemistry kwenye soccer? Imekua too much atapoteza radha sasa
Omarion alikua njuka sanab2k =girl friend
Enzi hizo kama hujavaa kit ya basket ball unaonekana fala na wenzako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ili goli lifungwe lazima patokezee Chemical reaction
hahahahahahaaaaa ajib alichemka Kama sodium
Jamaa huyu Yuko vizuri sanaJames blunt = you are beautiful
Alishaitwa mara kibao hatokei sijui anaogopa nnGold crest kuna nini asije?
Hapana kuna watu makuzi sana kuna jamaa ana comment anadai kuna sura za kumfanya Mtoto akilia anyamaze na kama hataki kunywa uji anyweUzi umeshachangamka sio?
Sana bro,,,mm mwenyew nmecheka sana,,kuna raia wana mambo sana humu ndanBro nimeingia humu nimecheka sana JF bhana kuna vituko sana
Hahah! Ni nani sasa aliemuita mkuu au ulishapita huko ukataka kumsabahi?Alishaitwa mara kibao hatokei sijui anaogopa nn
mbao za mawe ana maneno ya ajabu sana yule mtu na sijui hata anayatolea wapiSana bro,,,mm mwenyew nmecheka sana,,kuna raia wana mambo sana humu ndan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ndiyo tunapishana yaani you are like Ester typically na yeye alikuwa anapenda Korean drama kama wewe
Hiyo Mr robot ni tv series ya marekani
Hahah!! Humu ndani kuna majamaa makuzi sana ukipitia maandishi yao yanafurahisha sanaHapana kuna watu makuzi sana kuna jamaa ana comment anadai kuna sura za kumfanya Mtoto akilia anyamaze na kama hataki kunywa uji anywe
Ester tunaonana naye kila siku,,sema sehm kama zile anazikwepa sijajua anaogopa nnHahah! Ni nani sasa aliemuita mkuu au ulishapita huko ukataka kumsabahi?
Nmecheka sana comment za yule jamaambao za mawe ana maneno ya ajabu sana yule mtu na sijui hata anayatolea wapi