D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
unataka apunguze manjonjo ili akose mkate.umesahau jamaa ameshakuwa harabuji(babu)Hahah! Anaelekea kuanza kufanya comedy katika soccer ila zamani alikua vizuri naona watu wamemfatilia sana nae anazidisha maujanja adi anaharibu
[emoji16][emoji16][emoji16] aiseeNa asisahau kuipost humu vidole lazima vionekane[emoji23][emoji23]
Kumbe bora nibaki majuuHujakosea kabisa ata usipofatilia ni sawa maana sikufichi bongo hakuna soccer wala nini, watu wanaruka ruka tu. Sisi zetu ngoma mengine tunaiga
Eeh! Ilikuaje tena ukawa Ester?Mieeeee
Bro nimeingia humu nimecheka sana JF bhana kuna vituko sana
Huyo pia simjui kwani ni nani?Kaisiki unamjua?
Tatizo lako Ester mahaba mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]am waiting ila halizidi uzuri balo la bale,cr7
Lile gori la ronald dhid ya juve aliweka hadi concept za physics aiseeMzee fix nyingi sana sasa kweli lile goli aliingiza mpaka concepts za physics
Hahah!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu mr kucha must tupige picha kuthibitisha ujio wake na mengineyoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata admission ya chuo hawajafanya,hivi vitoto ni shida kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Davet
ningendako
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nilikua nasikia wakiziita asante LowassaCheki na huyu binti aliyesoma zile shule za Lowasa anavyotaka kuharbu mambo
Hapana goal la ajibuLile gori la ronald dhid ya juve aliweka hadi concept za physics aisee
Walking awayCraig David = 7 days
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora andaeitin wetu mashuhuri wamepumzika huko wakila likizo ya erowai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa bado kabisa hata hawajaonja radha ya supplementary
Hujawai nikwaza mpendwaNgoja niwapumzishe kwa leo inatosha..
Hope hamjakwazika.[emoji120][emoji120][emoji120]
Anavyo elezea anakuwa seriously kweliHahah! Anaelekea kuanza kufanya comedy katika soccer ila zamani alikua vizuri naona watu wamemfatilia sana nae anazidisha maujanja adi anaharibu
Sasa jamani mkate ndio makeke yazidi vile mixer kanuni za Chemistry kwenye soccer? Imekua too much atapoteza radha sasaunataka apunguze manjonjo ili akose mkate.umesahau jamaa ameshakuwa harabuji(babu)
Hapa ndiyo tunapishana yaani you are like Ester typically na yeye alikuwa anapenda Korean drama kama weweKuna korea drama hawa ma dj wa huku wameitungia jina mr robot
Majuu kwenyewe ata ukiangalia ligi daraja la tano unaenjoy ila njoo ligi kuu kwetu mechi ukute inachezwa huko Nangwanda sijaona au manungwi sijui utachokaKumbe bora nibaki majuu