Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi why mtu akikusaidia ukainuka anataka kuwaonesha watu bila yeye usingefika ulipo?? Yaan atajitahidi naye aonekane hupo nyuma yako kakuganda kama kupe... . Ni kweli umemsaidia ndiyo, but why matangazo.. Nimemfanyia hiki na kile.. bila mimi asingefika hapo.. . Ulikua unamsaidia kwa unafki?? mwache mwenyewe atambue umuhimu wako akushukuru na kuwaambia watu. Na hata hivyo, Mungu anaona moyo wako... Kwa kumsaidia huyo myonge utabarikiwa zaidi siyo lazima mpaka ujioneshe kwamba umemfanikisha kufika alipo.. Yaani kuna watu wengine bhana utasikia "hiyo nguo aliyovaa nimemnunulia mimi, isingekuwa mimi asingepata hiyo kazi.. Hiloo gari anaendesha nilimlipia pesa bandarini ndo akalikomboa"... Ya nini yote hayo? . .
Nitasomaga Pata likes Toa likes
 
Back
Top Bottom