Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hii ni kazi mpya?Lady Gaga ft Bradley Cooper- Shallow
Huu mchaluko nao kitambo siusikii
Hii ni kazi mpya?Lady Gaga ft Bradley Cooper- Shallow
Mpya hii mzeeeHii ni kazi mpya?
Huu mchaluko nao kitambo siusikii
Drogas WaveInaitwaje?
Kuna watu usipowafatilia husikii kazi wala kupata taarifa zao
Poa mkuu ngoja niruke nayoMpya hii mzeee
Shukrani sana.. kwema lakini?Drogas Wave
Kwema kabisa mubabaShukrani sana.. kwema lakini?
Huku salama kaka,,tunamshukuru Mungu
Vp huko??mambo yanaenda?
Hivi hizo ndiyo changamoto za mkoa wake? Mbona ana matamko mengi ya kitoto huyu!!?Haya sasaView attachment 916845
Watu wanadai kuwa wewe siyo mtamu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nipeni likes niwape mautamu
Watu wanadai kuwa wewe siyo mtamu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huyu si mzee wa matamko yanayofeli hili tamko halina madharaTCRA hawana nguvu kama wanavyojielezea wenyewe
Hili tangazo wa mikoani halituhusu kabisaHeee,,,wa mikoan sherehe tu