Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati huu wanawake wenye uwezo kifedha wamekuwa wakitumia fedha zao
kujipamba kwa mapambo ya gharama kubwa kama kuvaa mikufu na saa zenye
za dhahabu na hata madini mengine yenye thamani kubwa kama almasi.
Uvaaji wa mikufu, hereni, bangili ni mambo ambayo mwanamke anatakiwa
kuyazingatia ili kuweza kuongeza urembo wake.
 
Wengi wetu tumekuwa tukisahau kutumia vitu hivi katika mavazi yetu.
Vitu hivi vimekuwa vikisaidia sana kuboresha maisha yetu ya urembo
kutokana na kuwa unapovaa hereni, mkufu au bangili iliyofanana na nguo
uliyovaa hii itasaidia uonekana nadhifu zaidi kuliko unavyofikiri.
Mwanamke ambaye amekuwa akipangilia mavazi yake amekuwa akionekana
nadhifu kuliko yule ambaye amekuwa akiweka mwilini kila aina ya rangi
na kufanya muonekano wake usiwe mzuri.
 
Screenshot_2018-10-31 ( ) Twitter.png
 
Kuna mapoambo mengi siku hizi tena kwa gharama nafuu sana cha
kuzingatia ni kucheza na rangi, ukijua namna ya kupangilia rangi za
mavazi yako na mapambo yako utakuwa umefanikiwa sana katika
kufanikisha muonekano wako uwe mzuri.
Kitu kingine cha kuzingatia ni kuwa, unapoamua kupangilia rangi za
mavazi yako hakikisha kuwa mvazi hayo hayawi kwenye rangi za kung’aa
sana hasa pindi mavazi hayo ni ya kuvaliwa wakati wa mchana.
Mwisho
 
Na wakienda mikoani ubishi mtupu wakifungwa wanakimbilia kutaka point za mezani
Watu wanajiuliza tunakwama wapi kwenye soka la kimataifa, lakini tuna sababu nyingi mno ambazo zinafumbiwa macho. Timu zinazotegemewa kuwakilisha nchi zina utoto mwingi usiokubalika. Ndiyo maana wanapokosa mtu wa kuwadekeza kwenye anga la kimataifa wanaishia kutandikwa wanarudi na kuanza kulia lia.
 
Back
Top Bottom