Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umejaribu kukosoa ila hujaeleweka,timu zinatakiwa kusafiri mikoani kucheza mechi sio kila mechi dar tu eti kisa uwanja mbovu mara wanaogopa uchovu wa safari utawaharibia matokeo. Ndo maana kimataifa hawawiki. Unazi pembeni,kakosea takwimu ila kaongea point
Yanga dhidi ya Simba na dhidi ya KMC walikua Away katika uwanja wao wa nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Majuu kwenyewe ata ukiangalia ligi daraja la tano unaenjoy ila njoo ligi kuu kwetu mechi ukute inachezwa huko Nangwanda sijaona au manungwi sijui utachoka
Mkuu umeongea point.
Huku kwetu hatujawekeza kwenye mambo ya msingi ya mchezo wenyewe. Hatuna viwanja vya mpira vyenye hadhi, viwanja vingi havieleweki ni vya soka au vya mbio za farasi? Viwanja vina manyasi makubwa, vipara, mashimo, mabonde na milima nk. Katika hali kama hiyo huwezi kufurahia mchezo wa soka
 
Hahaha! Vya mbio za farasi

Mkuu viwanja vyetu mvua ikinyesha wachezaji wanacheza kwa tahadhari kubwa sana wasije kuzama kwenye madimbwi yaliyopo uwanjani...

Mchezo ambao naona ungetutangaza wa Tz ni bondia na kitu cha ajabu huu mchezo haupewi kipaumbele kabisa...
 
FB_IMG_1540959057919.jpg
 
Mkuu kuna vitu vinanitatanisha sana kwenye soka letu, nikiangalia mpira huwa nashtushwa sana na ubora wa viwanja vyetu, huwa najiuliza ni ipi kazi ya kamati ya ufundi ya TFF. Najiuliza TFF inashindwa hata kukarabati pitch zinazotumika kwenye ligi yetu. Nawaza mpaka najikuta kujidharau mwenyewe
 
Back
Top Bottom