Kuwekeza katika soccer inahitaji muda na Pesa za kutosha Mimi huwa nahisi TFF hawana budget ya kutosha kufanya hayo mamboMkuu kuna vitu vinanitatanisha sana kwenye soka letu, nikiangalia mpira huwa nashtushwa sana na ubora wa viwanja vyetu, huwa najiuliza ni ipi kazi ya kamati ya ufundi ya TFF. Najiuliza TFF inashindwa hata kukarabati pitch zinazotumika kwenye ligi yetu. Nawaza mpaka najikuta kujidharau mwenyewe
Naona likes tu sioni post yake yeyoteWapi babe S, karibu sana jukwaani
Hela wanazo ila wanachofanyia hakijulikani. Uongozi wa Tenga umeondoka na kuacha kwenye acount yake kuna 2b lakini kilichotokea ni Mungu ndiyo anajuaKuwekeza katika soccer inahitaji muda na Pesa za kutosha Mimi huwa nahisi TFF hawana budget ya kutosha kufanya hayo mambo
Pia nimeshangaaNaona likes tu sioni post yake yeyote
Dooh basi hatari sasaHela wanazo ila wanachofanyia hakijulikani. Uongozi wa Tenga umeondoka na kuacha kwenye acount yake kuna 2b lakini kilichotokea ni Mungu ndiyo anajua
Hio kcmc ni ya dar?kwann yanga haizifati timu mikoani?ongea hata kichina ila soka la bongo ubabaishaji mtupuUmewezaje kuwa na majibu ya kitu/jambo lisiloeleweka! Nimekufahamisha kwamba, mechi dhidi ya Simba, Yanga ilikuwa ugenini, Simba ilikuwa uwanja wa nyumbani, hivyo hivyo pia dhidi ya KMC, jumla ya mechi ambazo Yanga imekwishacheza ni 09 na sio 10, sasa nini hakijaeleweka hapo! Unataka ninene kwa Kinyakyusa! Ndagha fijo.
Na wakienda mikoani ubishi mtupu wakifungwa wanakimbilia kutaka point za mezani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mwisho wataomba hizo mechi zichezwe Dar [emoji3] [emoji3] vituko havitaisha
KabisaaaTiefuefu ya vilabu vitatu tu
[emoji16][emoji16] kichinaHio kcmc ni ya dar?kwann yanga haizifati timu mikoani?ongea hata kichina ila soka la bongo ubabaishaji mtupu
Wanayo basi tu pesa zinaishia kwa watu binafsiKuwekeza katika soccer inahitaji muda na Pesa za kutosha Mimi huwa nahisi TFF hawana budget ya kutosha kufanya hayo mambo
Wanaimaliza kumlipia nauli Samatta kuja kucheza game za Kimataifa [emoji16]Wanayo basi tu pesa zinaishia kwa watu binafsi
Duh aiseeeWanaimaliza kumlipia nauli Samatta kuja kucheza game za Kimataifa [emoji16]