Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siri ya papai katika urembo wako

Tunda la kitropiki la papai lina vitamini C na E likiwa na siri
kubwa ya urembo na hutumika kutengeneza facial za aina mbalimbali.
Papai limekuwa likitumiwa kama njoia boya ya kutunza uso wako na
kumfanya mtu kuwa na ngozi ya asili.
Bidhaa ambazo zimekuwa zikitengenezwa kwa kutumia tunda la papai ni
pamoja na sabuni, lotion, tona, moisturiza, facial peels na nyingine
nyingi.
Ukitumia facial mask ya papai utakuwa na sura nzuri ya asili na kukupa
uonekanaji mzuri wa uso wako.
Facial mask hii huweza hutumika kwa watu wa umri na aina yoyote ya ngozi
 
Facial mask ya papai ina nguvu ya kung’arisha uso wako.

Pia inasaidia ngozi ambayo imeshaanza kupatwa na makunyanzi kutokana
na umri kuonekana ya kuvutia kwani pia imekuwa ikiondoa chunusi na
makunyanzi pia.
Ni rahisi kutengeneza facial mask ya papai na ukitumia itakusaidia
katika kukabiliana na ngozi iliyoanza kuchoka, kung’arisha ngozi
Kuna na njia nzuri za kuhakikisha kuwa, tunakuwa na nyuso nzuri zenye
kupendeza na kuvutia ikiwemo kutumia vitu vya asili pamoja na matunda
ya aina mbalim ambayo husaidia zaidi katika kuimarisha ngozi .
Mask ya mchanganyiko wa papai yai na yai ni nzuri katika kuhakikisha
kuwa unakuwa na ngozi nzuri na nyororo
 
Njia hii pia husaidia hata wale wenye nyuso za mafuta ambao wamekuwa
wakisumbuliwa na chunusi mara kwa mara kwa kufanya ngozi kuwa kavu.
Unaweza kutengeneza aina hii ya mask kwa kufanya yafuatayo:-

Chukua papai likate kasha toa mbegu na kasha lisage kwa kutumia blenda
ay kuondaponda kwenye kibakuli kwa kutumia kitukama mchi mdogo wa
kinu.
Kisha weka mchanganyiko huo kwenye chombo ulichokichagua kama kikombe au bakuli.
Vunja yai na koroga kuhakikisha kuwa mchanganyiko huo umechanganyika vizuri.
 
Safisha uso wako kwa kutumia cleanser au maji ya vuguvugu na uondoe
uchafu wote ulioganda usoni.
Kisha paka mask kuzunguka uso wako, na unapopaka hakikisha kuwa,
mchanganyiko huo haugusi macho yako.
Osha uso wako baada ya dakika 15 kwa kutumia maji ya vuguvugu. Jifute
kwa kutumia taulo safi
Unaweza kupaka losheni, tona au moisturiza.

Husaidia kutunza ngozi na kuondoa vipele na uchafu ulioganda usoni.
Hii ni njia rahisi ya kutengeneza uso isiyo na gharama.
 
Acha tu kama Yanga tokea ligi ianze mechi ya 10 sijui hii anacheza nyumbani tu kila siku hajawahi kwenda kucheza Away [emoji16][emoji16] inafurahisha sana
Tafuta kuwa na uelewa, sema YANGA mechi ya kumi wamecheza Dar na sio kusema nyumbani, always, ukitaka kuwa bora dont generalize mambo, mechi dhidi ya Simba, Yanga kinadharia ilikuwa ugenini, ndio maana mapato yote yalichukuliwa na Simba, hivyo hivyo dhidi ya KMC, uwanja wa Taifa sio wa Yanga, hutumiwa na timu kadhaa Simba ikiwemo. Tafuta uelewa uongez maarifa/hekima na busara. Sahihi ni kusema kwamba YANGA mpaka sasa imecheza michezo Tisa (09) ikiwa Dar es Salaam. Kitakwimu ni mechi 09, sio 10.
 
Umejaribu kukosoa ila hujaeleweka,timu zinatakiwa kusafiri mikoani kucheza mechi sio kila mechi dar tu eti kisa uwanja mbovu mara wanaogopa uchovu wa safari utawaharibia matokeo. Ndo maana kimataifa hawawiki. Unazi pembeni,kakosea takwimu ila kaongea point

Umewezaje kuwa na majibu ya kitu/jambo lisiloeleweka! Nimekufahamisha kwamba, mechi dhidi ya Simba, Yanga ilikuwa ugenini, Simba ilikuwa uwanja wa nyumbani, hivyo hivyo pia dhidi ya KMC, jumla ya mechi ambazo Yanga imekwishacheza ni 09 na sio 10, sasa nini hakijaeleweka hapo! Unataka ninene kwa Kinyakyusa! Ndagha fijo.
 
FB_IMG_1540959146273.jpg
 
Tafuta kuwa na uelewa, sema YANGA mechi ya kumi wamecheza Dar na sio kusema nyumbani, always, ukitaka kuwa bora dont generalize mambo, mechi dhidi ya Simba, Yanga kinadharia ilikuwa ugenini, ndio maana mapato yote yalichukuliwa na Simba, hivyo hivyo dhidi ya KMC, uwanja wa Taifa sio wa Yanga, hutumiwa na timu kadhaa Simba ikiwemo. Tafuta uelewa uongez maarifa/hekima na busara. Sahihi ni kusema kwamba YANGA mpaka sasa imecheza michezo Tisa (09) ikiwa Dar es Salaam. Kitakwimu ni mechi 09, sio 10.
Gazeti refu maelezo ni yale yale tu nilioyasema, kwani yanga wanatumia uwanja gani kama uwanja wao wa nyumbani? Na mechi dhidi ya Simba na KMC walicheza uwanja gani?

Ulihitaji maneno machache tu kunifafanulia hili jambo ila najua kwanini umekua mwandishi wa makala....

Pia shukrani kwa ufafanuzi wako
 
Back
Top Bottom