Inafurahisha mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hapo wakiambiwa waende ugenini wanagoma,visingizio kibao mara uwanja mbovu mara hiki na kile na viongozi wanakubaliana naoAcha tu kama Yanga tokea ligi ianze mechi ya 10 sijui hii anacheza nyumbani tu kila siku hajawahi kwenda kucheza Away [emoji16][emoji16] inafurahisha sana
Jana Yanga kacheza game ya 9,,Simba ndio ana game 10Acha tu kama Yanga tokea ligi ianze mechi ya 10 sijui hii anacheza nyumbani tu kila siku hajawahi kwenda kucheza Away [emoji16][emoji16] inafurahisha sana