eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Training team
Maisha yapo Kasi Sana....Eti hii ni kariakoo ya enzi hizo na ni mtaa gani huu kwa sasaView attachment 917926
Bro unashabikia Lakers???
Houston RocketNo.
Warriors.
Vipi wewe,
Imetokea tu kuwakubali wale jamaa,,,Harden yupo vzr sana,,pamoja na CPNamkubali sana Harden, But why Rockets.?
Aisee,,,hawa mabinti ,,nywele km hz kwangu ni ugonjwa niwe nazshika shika tu,,
Aisee,,,hawa mabinti ,,nywele km hz kwangu ni ugonjwa niwe nazshika shika tu,,