Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Babe Coding.

42866808_666538100408869_8343062200610897889_n.jpg
 
Alexis Sanchez

Alexis Sanchez alipofika Ulaya alitamba kwenye klabu za Udinese, Barcelona, Arsenal na sasa yupo Manchester United anakolipwa mshahara wa kibosi. Pochi yake kwa sasa imetuna kutokana na mshahara anaolipwa huko Old Trafford, Pauni 500,000 kwa wiki. Lakini, utotoni kwake, Sanchez maisha hayakuwa rahisi. Mama yake alikuwa akifanya kazi ya ufagiri kwenye shule moja hivi, huku yeye mwenyewe alifanya sana kazi za kuosha magari kuongeza kipato nyumbani. Hata mpira wenyewe aliokuwa akicheza mwanzoni hakuwa na viatu hapo hapo alipopata msaada ya kufadhiliwa na mtu jozi zake za kwanza za viatu vya kuchezea soka.
Wachezaji asilimia kubwa wametokea maisha duni sana ndio mana wanasemaga soccer ni mchezo wa masikini ila kuna baadhi kama Andrea Pirlo walikua watoto wa kishua
 
Back
Top Bottom