Usijali nitakutembeleaHahah! siku hizi natulia nyumbani sizuruli sana ndio maana hatuonani, na kule kwengine hutaki tena kunitembekea [emoji16]
Miss Numbisa Wewe huwa unavaa hereni?Wanawake wa kimasai wamekuwa wakijipamba kwa mapambo
ya shanga hali ambayo inawafanya wazidi kudumisha
utamaduni wao.
Pia hereni zilizotengenezwa kwa shanga zimekuwa zikiwavutia watu wengi kuvaa kutokana na nakshi yake
Jennifer Huddson,,,,black is beauty wallah
Hahahahaaahaha taratibuMnaishia kupiga picha tuu, hahahah
Hahahahaaahaha taratibu
Nampenda sana huyu kaka