Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ripoti zinadai kwamba Sanchez anaweza kutimkia Paris Saint-Germain, lakini kama atakaa hadi mwisho wa msimu na kisha Sane akatue Januari kwenye chama la Man United, kutakuwa na vuta nikuvute ya kugombea namba kwenye kikosi hicho cha Mourinho.