aiseeSawa[emoji1][emoji1]View attachment 917751
Aisee, namshukuru Mungu nimeiona Novemba nikiwa mzima kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23] ndoto ndotoni.
Nipo njema kabisa mkuu..Khali yako?
Mnaishia kupiga picha tuu, hahahahLina ukweli hili??View attachment 917760
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara ghafla ******** mzazi aliye kijijini anakupigia simu "hivi mdogo wako Mariam anaendeleaje? " unamjibu yuko vizuri tu Anaendelea vyema na Chuo..... (Baba anaamua kukupa angalizo) mwangalie sana mdogo wako asije akafanya mambo ya Amber Rutty.. [emoji23][emoji23][emoji23] Unagundua baba ameangalia...
Hahah! siku hizi natulia nyumbani sizuruli sana ndio maana hatuonani, na kule kwengine hutaki tena kunitembekea [emoji16]Mimi pia sukuhizi unajifungia humu hutembei mitaa mingine kabisa