Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mdogo mmoja wa wachezaji hao wa Liverpool amekuwa na kipaji kikubwa na kushindanishwa kwenye tuzo ya kinda bora mwenye kipaji, akichuana na mkali Trent Alexander-Arnold, ambaye panga pangua amekuwa akipata namba kwenye kikosi hicho cha kocha Jurgen Klopp huko Anfield.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…