[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sentence tata hii kaka yangu.
Kama anayekupa ni wale jamaa wanaosakwa na madereva itakuwaje?
Yap she is beautifulCutie Kid.
Mb ngapi huko na sh ngapi?kwa herini kwa muda, hii JF hainipi raha pindi ninapotumia simu,ngoja nijiunge na Bando la Popo usiku huu kupitia TTCL nijivinjari na PC yangu Huku nashusha episode zote za wiki hii za Korean drama
huu ulimwengu hauna haki kabisa, mmoja anakataa billioni 2.5 za Jamal khashgogi Huku mwengine anajisifia kunywa bambucha usiku wake wa kwanza wa ndoaMcheza tenisi mahiri wa Uswisi, Roger Federer, ameipuuza na kukataa ofa ya Dola 1 milioni kutoka Serikali ya Saudi Arabia ili kucheza mechi za mashindano maalumu ‘Super Match’.
Pique pia wa kishuaWachezaji asilimia kubwa wametokea maisha duni sana ndio mana wanasemaga soccer ni mchezo wa masikini ila kuna baadhi kama Andrea Pirlo walikua watoto wa kishua
Najua unampenda sana Baba![emoji1][emoji1][emoji1] ....Si nimepatia eeeehh?