Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile, alitua Man United baada ya mvutano wa muda mrefu na mabosi wa Arsenal.

Sanchez ameshindwa kuonyesha kiwango bora Old Trafford na mara kwa mara amekuwa akitibuana na kocha Jose Mourinho.

Kocha huyo amemuondoa katika orodha ya kikosi cha kwanza Man United akiwa amefunga mabao matatu katika mechi 19 alizocheza
 
.
IMG-20181101-WA0004.jpeg
 
Licha ya kuwa na washambuliaji nyota Neymar, Angel Di Maria na Antonio Cavani, PSG inasaka mshambuliaji mpya katika kikosi hicho.

“Klabu ilikuwa na shauku ya kumsajili muda mrefu tangu msimu uliopita, hakuna siri hana furaha Man United anataka kuondoka,”kilisema chanzo ndani ya PSG.
 
Ni mechi ya watani wa jadi iliyobeba maana halisi ya neno 'Clasico'. Lakini Boca Juniors dhidi ya River Plate ni zaidi ya mechi ya watani wa jadi ndiyo maana inaitwaa 'Superclasico'.

Hakuna mechi ya watani wa jadi duniani iliyoshudia damu zikimwagika kila wakati kama hii. Ushindani kati ya Boca na River hauligawi tu jiji la Buenos Aires, lakini ni nchi nzima ya Argentina.

Timu hizo mbili zenye mafanikio zaidi zinachukua asilimia 70 ya mashabiki wote wa soka Argentina unaweza kusema wakati zinapocheza timu hizo nchi yote inasimama.
 
Kwa zaidi ya miaka 105, timu hizo zimekuwa katika ushindani baina yao, hakuna wakati Superclasico imekosa matukio ya kusisimua ndani na nje ya uwanja.

Kwa mara ya kwanza, Boca na River watakutana katika fainali ya Copa Libertadores, ambayo ni sawa na Ligi ya Mabingwa. Tayari presha imeanza kupanda kila kona ya nchi hiyo.

Jumanne usiku, River Plate ilishinda 2-1 ugenini dhidi ya miamba ya Brazil, Gremio na kusawazisha kipigo cha bao 1-0 walichopata nyumbani katika mchezo wa kwanza ugenini na kufuzu kwa sharia ya bao la ugenini.
 
Boca haikufanya makosa usiku wa Jumatano. Wakiwa wameshinda mchezo wa kwanza dhidi ya Palmeiras, walilazimisha sare 2-2 jijini Sao Paulo na kufanikiwa kutinga kwa fainali hiyo.

Boca na River zimekutana mara 24, katika Libertadores ikiwemo nusu fainali 1978 na 2004, lakini hawajawahi kuchukua ubingwa.

Mechi ya kwanza itachezwa Boca kwenye Uwanja wa Bombonera hapo Novemba 7, mechi ya marudiano itakuwa kwa River kwenye Uwanja wa Monumental hapo Novemba 28.
 
Hii itakuwa fainali ya mwisho ya Copa Libertadores kuchezwa kwa mechi mbili. Mwakani fainali hii itachezwa mechi mmoja mjini Santiago, Chile.

Mechi ya kwanza baina ya timu hizo ilikuwa Agosti 24, 1913 - River ilishinda kwa mabao 2-1 ndipo uhasama ulipoanza rasmi.
 
Kuna kifurushi Kimoja wanakupa GB4,lakini mb 500 unatumia asubuhi hadi saa mbili usiku na GB 3.5 unatumia saa mbili usiku hadi saa 12 asubuhi kwa tsh 1000.
kile cha saa 6 usiku wanachokupa GB 10 sikiwezi siku hizi.
hahahaaaaa kinanifanya mchana nilale ovyo Kama bundi
Asante mkuu,mie huwa natumia cha halotel gb 10 kile cha usiku. Mwisho wa week vile kama ijumaa naweza kesha nadownload movies za kutosha mpaka gb ziishe ndo nalala kwa amani kujiandaa kuzifaidi hizo movie week nzima kwenye free time
 
Back
Top Bottom