Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mambo kadha yamechangia hili. Kuna nyasi nyingi Maasai Mara kutokana na mvua. Wengi wa nyumbu hawakuvuka Juni kama ilivyo kawaida kutokana na moto uliowashwa porini (Serengeti)," alisema kwa mujibu wa Nation.
Mwezi Julai mwaka huu, wanyama hao pia walichelewa kuvuka kuingia Kenya jambo lililosababisha kuzuka kwa lawama kutoka wahudumu wa kitalii Kenya.
Baadhi walidai Tanzania ilikuwa imewasha moto makusudi maeneo ya mbuga ya Serengeti kuwazuia wanyama hao kuvuka kuingia Kenya.