Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1541105850342.jpg
 
ukiachana na mtandao wa TIGO hakuna mtandao mwengine wowote ninaonunua vocha kwa dhumuni la kujiunga na huduma ya dakika,ni mwendo wa internet kwenda mbele. huku nyumbani TTCL kuna huduma imenivutia sana inaitwa bandika bandua ambapo wanakupa MB kwa masaa maalum.
robo ya mb zako unatumia kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 2 usiku
nusu na robo ya mb zako unatumia kuanzia saa 2 usiku hadi saa 12 asubuhi na huduma hii inadumu kwa masaa 24.

*148*30#
  1. unachagua namba 5 (ttcl vifurushi)
  2. then unachagua namba 4 (bandika bandua)
baadae utakutana na machaguo mawili either 24 hrs au huduma ya wiki.

24 hrs : Tsh 1000 wanakupa GB 4 ambazo mb 500 utatumia kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 2 usiku, na GB 3.5 zilizobakia unatumia kuanzia saa 2 usiku hadi saa 12 asubuhi.
: Tsh 2500 kwa 24 hrs wanakupa GB 10, kuanzia saa 12- saa 2 usiku wanakuwekea kiwango cha gb 1 na kuanzia saa 2 usiku hadi saa 12 asubuhi wanakuwekea kiwango cha GB 9.

binafsi muda huu nimejiunga na kifurushi cha 2500 kuanzia saa 6:30 usiku hivyo basi hata kama nitashindwa kuzimaliza GB 9 usiku huu nitaendelea nazo usiku wa kesho na bila ya kusahau GB 1 ya kutwa sijaitumia.

kuliko kukesha usiku kwa ajili ya kupata 10gb kwa 1000 ni bora kujiunga na huduma hii.
kwa wale walevi wa series ni mwendo wa kutegesha episode kwa IDM huku unaendelea kulala hata kama inatokezea mzigo umefeli unaungojea usiku wa pili.
Dooh!

Huu mchanganuo mzuri ata TTCL wakiuona watatamani kukupa kitengo japo wapo kwenye mchakato wa kupunguza wafanyakazi 500+

[emoji16]
 
Aunty Ezekiel atumia zaidi ya million 10 za Kibongo kusherehekea kutimiza miaka 30 huko Dubai. Pesa hizo ametumia takribani million 5 kwa nauli alizolipia ndugu zake na watu wake wa karibu jumla wanne na cookie iyobo. Million 4 na usheee hotel, million 2 hivi vinywaji na chakula. . Ukiondoa hiyo zaidi ya million kumi, Aunty ambaye alikuwa Miss Mwanza 2006 kabla ya kuangukia pua katika Miss Tanzania, ametoa mkwanja mwingine kufanya shopping ya maana huko Dubai . Aunty amesema haoni shida kwasababu mwaka mzima anapiga kazi hivyo kujipzisha kufurahi ni muhimu kwake.
 
Why You Must Keep the Phone Calls with Women Short
When you first start dating a girl or getting to know her, don't hang on the phone talking with her for hours at a time. If you do, you'll be indirectly communicating to her that you have nothing else better to do. That you're boring, sedentary, and don't have much of a life.
 
Mwanamuziki adele ametajwa kushika namba moja kwenye top ten ya wasanii wa kibritish wenye mkwanja mrefu duniani ambao walio na umri chini ya Miaka 30 huku akiwa na utajiri wa dola Million$147.5 ambazo zimetokana na mauzo ya Albam zake pamoja na ufanyaji wa show zake, Orodha ya watu wengine wanaomfuata ni.. . . 1. Adele, 30. (£147m) 2. Ed Sheeran, 27. (£94m) 3. Daniel Radcliffe, 29. (£87m) 4. Harry Styles, 24. (£58m) 5. Emma Watson, 28. (£55m) 6. Little Mix, 25-27. (£48m) 7. Niall Horan, 25. (£46m) 8. Louis Tomlinson, 26. (£44m) 9. Liam Payne, 25. (£43m) 10. Zayn Malik, 25. (£37m)
 
Yes, you may enjoy the conversations with her and getting to know her better. And she may seem to enjoy them as well. But you'll be doing much more damage to your budding relationship than good. Subconsciously, she'll be classifying you as a NO-LIFER.
 
Remember, this girl is looking for someone who will make her life more interesting. It's better to be perceived as someone who is busy,who does things, who has an interesting and exciting life. Ten minutes on the phone may be okay. Twenty is really pushing it.
 
And remember, when she calls and asks you what you're doing... never say "nothing".
Always be doing something interesting, or just getting back from doing something interesting, or getting ready to go do something interesting "in a few minutes"
 
Back
Top Bottom