Aisee, hatari sana hii.BREAKING NEWS :Mabehewa Saba ya Treni ya abiria inayofanya safari zake katikati ya Jiji la Dar es Salaam, maarufu Treni ya Mwakyembe yamepinduka eneo la Vingunguti baada ya kuacha njia. Hakuna madhara kwa binadamu yaliyoripotiwa hadi sasa.
Yupo vizuri hata majukwaa ya sports yupoNimempenda bure nitakua napitia huko kwa Wakore nione mambo yake [emoji16]
Bro kaadimika sana ila kuna kipindi alisema atakua busy kidogo
miaka 30 ya kuzaliwa au ya kwenye cheti. Miaka 35 itapendeza zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bongo movie wote wana miaka 30 hakunaga mzee mule[emoji23]
Kaenda kumtetea Zitto
So sadKiungo wa Manchester City, Kevin de Bruyne, ameumia goti lake la kushoto kwenye mechi ya Carabao Cup jana dhidi ya Fulham. Kocha wa klabu hiyo, Pep Guardiola amesema De Bruyne atafanyiwa uchunguzi na madaktari na watakuja na majibu.
Aibu hii!!Aliyempa mimba dada yake miaka 30 jela || . Mkazi wa kijiji cha Usagara wilayani hapa Mkoa wa Mwanza, Charles Abel (24) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa makosa mawili ya kubaka na kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Busagara.
Namuonaga kule kwenye Uzi wa barca nahisi ni Mkatalunya mwenzanguYupo vizuri hata majukwaa ya sports yupo
Bora aibu hiyo laana kabisaAibu hii!!
Kweli aisee,,hii dunia imejaa mambo ya ajabu sanaBora aibu hiyo laana kabisa