Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Nimempenda bure nitakua napitia huko kwa Wakore nione mambo yake [emoji16]Kwenye kufafanua damushin yupo vizuri mno. Home kwake uzi wa korea drama
Nimempenda bure nitakua napitia huko kwa Wakore nione mambo yake [emoji16]Kwenye kufafanua damushin yupo vizuri mno. Home kwake uzi wa korea drama
Juu ya hiyo sheria, juu ya mtazamo wa Fetty au juu ya project ya Bashite?Mtazamo wako nini Bro, juu ya hii.
KazaNipo memkwa sasa hivi
Aunty Ezekiel atumia zaidi ya million 10 za Kibongo kusherehekea kutimiza miaka 30 huko Dubai. Pesa hizo ametumia takribani million 5 kwa nauli alizolipia ndugu zake na watu wake wa karibu jumla wanne na cookie iyobo. Million 4 na usheee hotel, million 2 hivi vinywaji na chakula. . Ukiondoa hiyo zaidi ya million kumi, Aunty ambaye alikuwa Miss Mwanza 2006 kabla ya kuangukia pua katika Miss Tanzania, ametoa mkwanja mwingine kufanya shopping ya maana huko Dubai . Aunty amesema haoni shida kwasababu mwaka mzima anapiga kazi hivyo kujipzisha kufurahi ni muhimu kwake.
Bongo movie wote wana miaka 30 hakunaga mzee mule[emoji23]miaka 30 ya kuzaliwa au ya kwenye cheti. Miaka 35 itapendeza zaidi