Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

44470664_758662447813023_3226719542029265277_n.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usimuamini Sana Zuzu
Kwann mzee???kweli aisee na muda sasa sisikiliz vpnd vya mchana lbda niwe kwenye usafr ntasikiliza nkshuka ndio bhasi tena..

Sema kuna kipind flan hv nilikuwa nasikiliza kpnd cha katkat hapa sema yule jamaa aliyekuwa anatangaza alihama ile radio bhas nam nkapotezea ilikuwa rfa kpnd klikuwa knaitwa hiphop top mix jamaa anaitwa ibrahm haruna

Nash yupo vzr sana,,si unaona leo vitu vinavyosemwa humu,,nash alivisema muda mrefu pamoja na vinega
 
Bro husikilizi hivyo vipindi kisa Nash alisema aliyosema au huna muda wa kusikiliza hivyo vipindi?

Nikweli yaliyosemwa yapo ila pia kina mazuri ya kusikia na unaenjoy, kwamfano mimi nasikilizaga j3 kuna segment inaitwa Dk 10 za maangamizi; kunakua na msanii haijalishi awe main stream au underground anapewa dk na beat achane ndani ya dk 10

Pia ijumaa kuna hii Heshima ya bongo fleva
 
Back
Top Bottom