Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Usijari mwaya sasa nitakutafuta tuyajenge vizurinilizidiwa mdog wangu nisamehe
Usijari mwaya sasa nitakutafuta tuyajenge vizurinilizidiwa mdog wangu nisamehe
Usijari mwaya sasa nitakutafuta tuyajenge vizuri
Kabla hata ya Nash,,kipind kile cha Vinega ndipo nilipoanza kupunguza kusikiliza vpnd vya namna ile,,,Bro husikilizi hivyo vipindi kisa Nash alisema aliyosema au huna muda wa kusikiliza hivyo vipindi?
Nikweli yaliyosemwa yapo ila pia kina mazuri ya kusikia na unaenjoy, kwamfano mimi nasikilizaga j3 kuna segment inaitwa Dk 10 za maangamizi; kunakua na msanii haijalishi awe main stream au underground anapewa dk na beat achane ndani ya dk 10
Pia ijumaa kuna hii Heshima ya bongo fleva
Nimekupata bro...Kabla hata ya Nash,,kipind kile cha Vinega ndipo nilipoanza kupunguza kusikiliza vpnd vya namna ile,,,
Kitu kingine na muda pia kaka unachangia ,,EA radio huwa nasikiliza The Cruise kama sijakosea jina la kpnd huwa kipo saa moja had nne kama sijakosea pia,,
Nimekupata bro...
Kipindi ni the cruise ndio kunaenda hadi saa sita nahisi kipo vizuri sana
BalaaHaaah uwe na toto kama hili unaweza kufanya maamuzi magumu avae dhambi ya mauaji.... Mungu tunusuru
Nimekupata bro...
Kipindi ni the cruise ndio kunaenda hadi saa sita nahisi kipo vizuri sana
Hio Bro daah mnanikumbusha bro shimbaaaYap bro,,,kile nakisikiliza sana
Unatumia Afripods???Nimekupata bro...
Kipindi ni the cruise ndio kunaenda hadi saa sita nahisi kipo vizuri sana
Sawa bro haupitwi sanaYap bro,,,kile nakisikiliza sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro wetu sijui nani kamtekaHio Bro daah mnanikumbusha bro shimbaaa