Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana bro
Itafute bro,,,ipo playstore,,ni kama online radio na ina vipindi mbalimbali vya burudan,mahojiano mbalimbali,uchambuz wa kisiasa

Na watangazaj wengi ni wabongo,
Kuna jamaa yule Fredrick Bundala skywalker pia ana kpnd chake humo....

Afripods ipo hv,,,kama una talent ya utangazaj bhasi unatengeneza kpnd chako then unakiweka humo ndan Afripods,,sema karbu wote wanaoweka vpnd vyao humo wapo vzr sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…