Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

dudubaya afunguka kuitwa polisi

Msanii wa muziki wa hip hop, Dudu Baya amefunguka kwa kudai kwamba ameitwa na Mkuu wa Upelelezi Polisi Kinondoni kwaajili ya kuhojiwa kuhusiana na list za watu wanaodaiwa kuwa ni mashoga ambazo amekuwa akizisamba mtandaoni.

Kupitia akaunti yake ya instagram ametuma video yake akidai kuwa endapo atawekwa ndani ndugu yake yoyote asimpelekee chakula wala maji.

"Nipo njiani kuelekea kituo cha polisi ostaybey baada ya kuitwa na mkuu wa upelelezi na kama nikiwekwa ndani kwasababu ya hawa mashoga sitaki ndugu yangu yoyote uje kituo cha polisi kuniletea maji wala chakula nitashinda na kulala njaa adi kazi ya mungu itimie Amen"
Swafiiii sana walahi
 
3EEEBF66-4985-450C-BB2D-5675A1E0ACC1.jpeg
 
Umetoka shule kwa likizo. Umefika nyumbani unamkuta mama, unamuuliza mama, baba yuko wapi anakujibu yuko kazini. Mda mwingi uko na mama yako tu. . . Ni siku ya jumapili, baba anaingia chumbani kwako anakukuta ukipanga mabegi kwani kesho unarudi shuleni (likizo imeisha). Anakupatia laki 8 za ada. Ile anataka kuondoka, unamuomba laki moja ya matumizi. Anakwambia "hali ni ngumu mwanangu" ila anakupatia elfu 80, kisha anaondoka. Unatoka chumbani kwako ukiwa umenuna, unaenda sitting room, unamkuta mama. Mama anakuuliza "mbona umenuna", unamjibu, "baba amenipa elfu 80 badala laki kwa matumizi". Mama anafungua hand bag, anakupa elfu 30. Wewe kwa akiri yako mbovu, unakimbilia simu, unaingia FB unapost "HAKUNA KAMA MAMA". Umesahau kwamba baba yako leo ameenda Kazini kwa mguu kwa sababu hana nauli? Umesahau kwamba jasho lake ndilo linalokuweka shule? Umesahau kwamba,Pesa aliyokupa mama kapewa na baba? ACHA UPUMBAVU .
 
Filamu ya #BlackPanther kutunukiwa tuzo ya heshima kwenye tuzo kubwa za filamu duniani ' #HollywoodFilmAwards ' November 4. Hii ni baada ya kuweka rekodi kadhaa za mauzo ikiwemo ya kukamata No.2 kwenye orodha ya mauzo kwa muda wote. Filamu hiyo ilitoka January 2018.
 
Mwanamama Roxy Sykes anaingiza Tsh. 300m kwa mwaka kwa kuuza mtandaoni soksi chafu na viatu ambavyo tayari ameshavivaa. Alianza biashara hiyo baada ya watu kumsifia kuwa ana miguu mizuri na wanapenda harufu yake. Pea 1 ya viatu anauza Tsh. Laki 5, pea 1 ya soksi ni Elfu 60.
 
Back
Top Bottom