Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

56F1C65D-F9B9-43BB-8294-414461B31E89.jpeg
 
Umetoka shule kwa likizo. Umefika nyumbani unamkuta mama, unamuuliza mama, baba yuko wapi anakujibu yuko kazini. Mda mwingi uko na ******** tu. . . Ni siku ya jumapili, baba anaingia chumbani kwako anakukuta ukipanga mabegi kwani kesho unarudi shuleni (likizo imeisha). Anakupatia laki 8 za ada. Ile anataka kuondoka, unamuomba laki moja ya matumizi. Anakwambia "hali ni ngumu mwanangu" ila anakupatia elfu 80, kisha anaondoka. Unatoka chumbani kwako ukiwa umenuna, unaenda sitting room, unamkuta mama. Mama anakuuliza "mbona umenuna", unamjibu, "baba amenipa elfu 80 badala laki kwa matumizi". Mama anafungua hand bag, anakupa elfu 30. Wewe kwa akiri yako mbovu, unakimbilia simu, unaingia FB unapost "HAKUNA KAMA MAMA". Umesahau kwamba baba yako leo ameenda Kazini kwa mguu kwa sababu hana nauli? Umesahau kwamba jasho lake ndilo linalokuweka shule? Umesahau kwamba,Pesa aliyokupa mama kapewa na baba? ACHA UPUMBAVU .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wababa tunapata tabu sana.
Mtoto akifanikiwa kuwa na maisha yake anaanza kumnyanyapaa baba yake. Yaani kama amepanga kutumia laki moja kwa ajili ya wazazi wake, 50,000 anampa mama yake kisiri siri, anavyoaga kuondoka mkiwa mmejumuika pamoja anatoa 50,000 tena,30,000 anapewa baba na 20,000 anapewa mama... Mbaya zaidi baba una pangiwa matumizi (utanunua umeme na sukari) ili tu iishe.

Naombea sana wakati huo unifikie, nitamuibia sana mke wangu hela zake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]umetiririka bonge la pointi ila mwishon umenichekesha sasa utaiba upeleke wapi jaman
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wababa tunapata tabu sana.
Mtoto akifanikiwa kuwa na maisha yake anaanza kumnyanyapaa baba yake. Yaani kama amepanga kutumia laki moja kwa ajili ya wazazi wake, 50,000 anampa mama yake kisiri siri, anavyoaga kuondoka mkiwa mmejumuika pamoja anatoa 50,000 tena,30,000 anapewa baba na 20,000 anapewa mama... Mbaya zaidi baba una pangiwa matumizi (utanunua umeme na sukari) ili tu iishe.

Naombea sana wakati huo unifikie, nitamuibia sana mke wangu hela zake
Kama namuona mama naye akificha pesa zake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wababa tunapata tabu sana.
Mtoto akifanikiwa kuwa na maisha yake anaanza kumnyanyapaa baba yake. Yaani kama amepanga kutumia laki moja kwa ajili ya wazazi wake, 50,000 anampa mama yake kisiri siri, anavyoaga kuondoka mkiwa mmejumuika pamoja anatoa 50,000 tena,30,000 anapewa baba na 20,000 anapewa mama... Mbaya zaidi baba una pangiwa matumizi (utanunua umeme na sukari) ili tu iishe.

Naombea sana wakati huo unifikie, nitamuibia sana mke wangu hela zake
Kwema mzee wangu??
 
Back
Top Bottom