Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wababa tunapata tabu sana.
Mtoto akifanikiwa kuwa na maisha yake anaanza kumnyanyapaa baba yake. Yaani kama amepanga kutumia laki moja kwa ajili ya wazazi wake, 50,000 anampa mama yake kisiri siri, anavyoaga kuondoka mkiwa mmejumuika pamoja anatoa 50,000 tena,30,000 anapewa baba na 20,000 anapewa mama... Mbaya zaidi baba una pangiwa matumizi (utanunua umeme na sukari) ili tu iishe.

Naombea sana wakati huo unifikie, nitamuibia sana mke wangu hela zake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]umetiririka bonge la pointi ila mwishon umenichekesha sasa utaiba upeleke wapi jaman
 
Kama namuona mama naye akificha pesa zake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwema mzee wangu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…